Masanga wazindua Tamasha la kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia;



Mkurugenzi
wa Shirika la Association for Termination of Female Genital Mutilatio
ATFGM Masanga Sister Stella Mgaya akizindua rasmi Tamasha la kutoa elimu
juu ya madhara ya ukatili wa kijinsia katika shule za Msingi na
Sekondari katika viwanja vya shule ya Sekondari Ingwe Nyamongo Wilayani
Tarime Mkoani Mara.




Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kewanja Nyamongo wakifikisha elimu juu ya madhara ya ukeketaji katika Tamasha hilo.

Wasichana wakiingia sehemu ya Kukeketa.



Wakionyesha madhara ya ukeketaji kwa mtoto wa kike kupitia Igizo

Mzee wa mila akiondoa mikosi kabla ya kuanza Ukeketaji.

Igizo linaendelea


Wanafunzi kutoka shule za Msingi na Sekondari 12 wakitazama Michezo mbalimbali.











Mabango yenye jumbe mbalimbali katika Tamasha hilo.



Dora Luhimbo Mwanasheria kutoka shirika la ATFGM Masanga akitoa elimu kwa wanafunzi hao juu ya sheria zinazolinda mtoto.



Mwanafunzi akijibu swali.



Walimu kutoka Shule mbalimbali.




Nyimbo



Ngonjera








Maigizo

Mashindano ya kula Mikate na kunywa maji.


Sister Stella Mgaya akikabidhi zawadi ya Madaftari na kalamu kwa mwanafunzi aliyeshinda kula Mikate na Maji katika Tamasha hilo.

\        PICHA NA CLEO
Powered by Blogger.