MAKUBWA; AJIRUSHA ZIWANI KISA MAMA YAKE KUINGILIA UGOMVI;

Na makaliblog; MARA
Mwanaume mmoja mkazi wa kitongoji cha kivukoni katika kijiji cha Nyihara Mkoani Mara amenusrika kifo baada ya kugombana na mama ake mzazi ndipo akaamua kwenda kujinyonga na baada yakutolewa kamba akaamua kujirusha ziwani kwa lengo lakujiondoa uhai wake na bahati nzuri wasamalia wema wakamuokoa.
Kijana huyo aliefahamika mkwa jina la Petro kichekazi wa kijiji cha Nyihara kitongoji cha kivukoni huko Rorya mkoani mara ambapo imebainika kuwa ugomvi huo ulitokana nayeye jana ake kutolala nyumbani kwao na aliporudi alikuwa amelewa ndipo mzozo ukaanza wakuhojiwa na mama ake alikokuwa amelala ndipo akajribu kuchukua kamaba ajinyonge na alipoporwa kamba hiyo akakimbia kjirusha ziwani huku chanzo cha awali ikiwadiwa kuwa nipombe aizokuwa amekunywa.
Akizungumza na MAKALIBLOG mwenyekiti wa serikali ya eneo hilo Bwana Welema Magesa undani wakisa cha bwana huyo ambapo alipata taarifa hizokutoka kwa wasamalia kwamba alirudi nyumbani akiwa amelewa na baadae kuanzisha ugomvi yeye na mama ake mzazi baada ya kutaka kumuadhibu mkewe kisa hamthamini anaporudi nyumbani ikiwemo kumpa chakula.
‘’Yeye alikuwa amelewa baada yakurudi nyumbani akaanza ugomvi na mama ake sivile inavodaiwa kuwa naugomvi na mkewe amekuwa kila akilewa anaanzisha fujonyumbani’’.alisema welema.
Bwana Welema alisema kuwa kijana huyo simara yake ya kwanza kujaribu kujiua kwani alishawahi kuchukua kamba kwa ajiri ya kujinyonga na baadhi ya wananchi wakamnyang’anya kamba yake na kinakuja kisa hicho cha kuanya mambo hayo
kwakuwa yeye nikijana wa pekee kwa familia yam zee kichele ambapo alizaliwa peke yake.
‘’Tunakoelekea watu kama hawa kwakuwa mimi nimwenyekitinitakuwa nawachukulia hatua yakuwapeleka polisi maana kama huyo akiwa hajalewa huwa nimtu mzuri sana sasa inavoonekana yeye anakunywa pombe na kuvuta bange’’.
Makaliblog ikazungumza na baadhi ya wananchi na wanadugu waeneo hilo ambapo wamesema kuwa kijana huyo yeye kwa maelezo yake kwa hatua anayoichukua nikutokana namke wake kutokumthamini anapokuwa anarudi nyumbani hivyo inapelekea kulala nje na akirdi akiomba cakula anaambiwa arudi alikokuwa akawaombe hakula ambapo sasa ndipo amekuwa akiamua kuchukua hatua izo kwa lengo lakujitoa uhai wake.
TUPE MAONI YAO MATUSI((( HAPANA )))))))))
TANGAZA NA MAKALIBLOG., KWA HABARI NA MATUKIO
TUPIGIE 0754295996