MAKAMU WA RAIS APONGEZA MRADI MKUBWA WA MAJI UNAOTEKELEZWA NA MUWASA.
![]() |
| wananchi wakimfatiria makamu wa raiisi katika mkutano wake |
![]() |
| mmoja ya mitambo inayotumika katika mradi wa maji |
![]() |
| mafundi wakiwa kzini |
Makamu
wa Rais mama samia suluhu hasani ameupongeza mkoa wa mara kupitia mkurugenzi wa
shirika la maji safi na salama mkoani humo MUWASA,Bwana
Said GANTALA kwa kutekeleza kwa
asilimia kubwa mradi mkubwa wa maji utakao hudumia wananchi na wakazi wa meneo
jirani kwa kiwango cha juu.
Aliyasema
hayo katika viwanja vya mkendo vilivyopo musoma mkoani mara alipokuwa akiwahutubia
mamia na wakazi wa mkoa huo mara baada
ya kutembelea mradi huo mkubwa wamaji ambao unatarajiwa kukamilika june30 mwaka
huu.
Mama
samia alisema kuwa lengo kubwa la awamu ya tano nikuyafikia malengo naahadi walizo ahidi kuzitimiza na ikiwezekana
kuzikamilisha kabisa ambapo sasa mmoja ya mirad mikubwa ambao unatekelezwa na
MUWASA ni mradi ambao unategemewa kusaidia wananchi hao kwani maji yake
hayatakuwa na haja ya kuchemshwa kwani yanatekelezwa kwa utenegenezwa kwa
kiwango cha juu.
Makamu
wa Rais alipata nafasi ya kutemebele mradi huo nakujionea kazi kubwa
wanayoifanya shirika hilo nakuwataka wananchi kushirikiana na nakuzitumia fursa
ambazo zinatolewa ikiwemo kuchimba visima kwa ajiri ya kupitishiwa mabomba ya
maji.
Alisema
kuwa kupitia mradi huo mkubwa wa maji utakuwa Mkombozi kwa wananchi wa Manispaa ya Musoma na wilaya ya butiama.
Ambapo
mradi huo mpaka sasa umefikia asilimia ya mwisho katika ukamilishaji wake.nami
kama mmiliki wa MAKALIBLOG. Naweza kusema kwamba natumia fursa hii kuwapongeza (MUWASA).
Kwakazi kubwa mnayoifanya yakutambua matatizo yanayowakumba wananchi na watumiaji
wa huduma zenu kuongeza nakupanua huduma zenu nakuanzisha mradi kama huu ambao
wengi wao wenye akiri finyu walifiri hautakamilika.
Lakini
pia endeleeni na utii huo wakuahidi vitu
nakuvikamilisha kwani mmeonyesha nyinyi kweli niwakombozi na wasidizi
namnatambua wateja wenu.
Aidha
shirikianeni na ofisi ya mkoa,wananchi na wilaya kwa siku zote kwani ummoja ni
nguvu na utengano ni udhaifu lakini pia toeni tarifa kwa kuwajuza wananchi
panapotokea tatizo na toeni elimu kuhusiana nahuduma zenu kwa ushihi kupitia
maafisa wa shirika lenu ili kuepusha kelele zinazoweza kuwatatza na maliza kwa
kusema hongeleni MUWASA.






