MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SABA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 4, 2017.
Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge
akiongoza kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu
Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia
Wambura akiwasilisha randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Wizara hiyo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye
Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao
cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 4, 2017.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu
Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia
Wambura na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia wakifatilia hoja
mbalimbali katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Wabunge wa CCM wakijadili jambo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Waziri
wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
wakizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe.Peter Msigwa katika
kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 4, 2017.
Mbunge
wa Konde,Khatib Said Haji(CUF) akiuliza swali katika kikao cha kumi na
Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA