RAISI MAGUFULI AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE;

Tutaulinda muungano kwa nguvu zote mimi na shein
Rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania dk john pombe magufuli amewahaidi watanzania atausimamia muungano wa tanganyika na zazibar yeye na raisi wa zanzbar dk shein
ameyasema hayo katika maadhimisho sikuu ya ya miaka 53 ya muungano watanganyika na zanzibar mjini dodoma wakati akilihutubia tabia Taifa katika sikukuu hizo ambazo zime ongozwa na maonyesho mbalimbali ikiwemo vikundi vya ngoma, maonyesho ya kijeshi .
lakini pia Rais magufuli amesema serikali kufanyia sherehe hizo dodoma nimmoja ya kuonyesha dhamira serikali kuhamia dodoma ambapo mpaka sasa tasisi na wizara mbalimbali ziemeahamiamkoani humo.