Angalia Video:Mbunge Matiko jimbo la Tarime Mjini CHADEMA amesema kuwa wataendelea kusaidia vikundi vya akina Mama na Vijana kupitia asilimia kumi Katika Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani mara ili kuwezesha vikundi hivyo kuendeleza biashara zao hukua akisihi vikundi hivyo kurejesha pesa hizo kwa wakati kwa lengo la kubaki na sifa ya kukopo.

Powered by Blogger.