Mzee mmoja
aliyefaamika kwa jina la Nyamhanga
Suguta Gesaba 78 mkazi wa kitongoji cha Kibeyo Kijiji cha Getenga kata ya Mbogi Wilayani Tarime Mkoani Mara
ameamua kujiunga na kuanza darasa la
kwanza kwa lengo la kujua kusoma , Kuandika na Kuhesabu ili kuendeleza biashara
zake ndogo ndogo za kuuza Ndizi.
Mzee Huyo
amesema kuwa hakubahatika kwenda shule kipindi cha ujana wake hivyo alianza
mwaka jana kwenda shule ya na
akabahatika kufaulu na hivyo ameamua kujiunga darasa la kwanza ili kutimiza
ndoto yake kwani Elimu haina mwisho nimebahatikakufika shuleni hapo
|