Search for: Jaji mkuu OTHMAN CHANDE amesema mahakama nchini ipo katika mchakato mkubwa wa kuingiza mfumo wa kielekroniki
Jaji mkuu wa TANZANIA,OTHMAN CHANDE amesema mahakama nchini ipo katika
mchakato mkubwa wa kuingiza mfumo wa kielekroniki katika uchapishaji wa
mwenendo wa kesi katika mahakama za hapa nchini,utakaorahisisha
upatikanaji wa maelezo ya kesi kwa wahusika kwa haraka zaidi.
hayo yalisema yasema alipokuwa anamkaribisha jaji mkuu wa mahakama kuu ya AUSTRALIA KUSINI,CHRIS KAIRAKIS ambae yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo anatarajiwa kuzuru pia mahakama ya visiwani ZANZIBAR ikiwa ni mojawapo ya hatua ya kujenga uhusiano wa karibu unaolenga kuboresha utendaji wa mahakama hapa nchini.
Amesema watazungumza na jaji huyo kuhusu mambo mbalimbali yanyohusu mwenendo wa kesi na miongozi ya mahakimu ili kuweza kuboresha utendaji wa mahakama katika kutoa haki kwa watuhumiwa wa makosa mbalimbali wanaofikishwa katika mahakama.
Kwa upande wake jaji mkuu huyo wa Australi kusini,amesema anaisifu serikali ya TANZANIA na watu wake kwa kuweza kuweka mfumo mzuri wa utoaji haki ambao unaheshimiwa na wananchi wote ambao wana dini tofauti na ambao hawashabikii kudai sheria za dini zao ndizo zitumike zadi kuliko sheria mama na kusema mfano huo unapaswa kuigwa duniani kote.
Kuhusu adhabu ya kifo nchini AUSTRALIA ambako adhabu hiyo imefutwa,jaji KAIRAKIS amesema wao waliweza kufanya hivyo baada ya kuelimika vizuri kuhusu haki za binadamu ndipo adhabu hiyo ikaondolewa na badala yake ipo adhabu ya kifungo cha maisha aua kifungo cha miaka 20 kulingana na mtuhumiwa kukiri makosa yake.