PROFESA MAGHEMBE AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI WANYAMAPORI KITUO MLELE KATAVI
Waziri wa Maliasili na
Utalii Prof Jumanne Maghembe akiwahutubia wahitimu wa mafunzo
ya ukakamavu ambao ni wahifadhi wa wanyama pori kutoka TANAPA ,
Mamlaka ya Ngorongoro na TAWA mafunzo yaliofanyika katika kituo
cha Mlele Mkoa wa Katavi mafunzo hayo yamewashirikisha wahitimu
69 na yalifungwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Prof
Jumanne Maghembe ambapo alieleza kuwa Serikali itaendelea
kulinda maliasili kwa nguvu zote.
Picha na Walter Mguluchuma
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.
Profesa Jumanne Maghembe akizungumza wakati alipokuwa akifunga mafunzo
ya askari wanyamapori katika kituo cha Mlele mkoani Katavi.
Waziri wa Maliasili na utalii
Prof Jumanne Maghembe akikagua gwarid la wahifadhi wanyamapori kutoka
TANAPA,TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakati alipokuwa akifunga mafunzo
hayo yaiyofanika katika kituo cha mafunzo mlele Mkoani KATAVI.
.Paredi ikipita mbele ya mgeni
rasmi waziri wa utalii hayupo pichani wakati wa kufunga mafunzo ya
wahifadhi wanyama pori kutoka TANAPA,TAWA, na Mamlaka ya Ngorongoro
yaliyofanyika kituo cha Mafunzo Mlele Mkoani KATAVI.
Wahifadhi wa Wanyama pori kutoka
TANAPA , TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakilenga shabaha kwa
kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo jana yaliyofungwa na
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe katika kituo
cha mafunzo cha Mlele Mkoani Katavi .
Wahifadhi wa Wanyama pori kutoka
TANAPA , TAWA na Mamlaka ya Ngorongoro wakilenga shabaha kwa
kutumia risasi za moto wakati wa kufunga mafunzo jana yaliyofungwa na
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof Jumanne Maghembe katika kituo
cha mafunzo cha Mlele Mkoani Katavi .