Watu wanne wamefariki dunia na wengine 18 wamejeruhiwa katika ajali ya Basi la kampuni ya Barcelona eneo la Miteja mkoani Lindi. Inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa basi hilo linalofanya safari zake Lindi - Dar es salaam.Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde