ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI HII LEO KIPINDI WATU WENYE ULEMAVU WAKIPIMA SARATANI YA NGOZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME CHINI YA UFADHILI WA SHIRIKA LA STANDING VOICE.
MWENYEKITI WA CHA CHA WATU WENYE UALBINO WILAYANI TARIME MKOANI MARA TAS SINDA MAGUTU AKIWA NA BAADHI YA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI HII LEO KATIKA UCHUNGUZI WA SARATANI YA KANSA YA NGOZI. |
MWENYEKITI TAS AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA |
MWENYEKITI TAS AKIWA NA MMOJA WA WAGENI AMBAO WANASAIDIA KATIKA ZOEZI ZIMA LA KUPIMA SARATANI YA NGOZI. |
MRATIBU WA SHIRIKA LA STANDING VOICE KABALLA MAGANJA AKIENDELEA NA USAJILI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA TARIME |
MAFUTA KWA AJILI YA NGOZI KWA WATU WENYE UALBINO |
MMOJA WA WAZAZI AKIPOKEA MAFUTA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO |
MRATIBU WA SHIRIKA LA STANDING VOICE KABALLA MAGANJA AKIONGEA NA CLEO NEWS HII LEO |
WAKINESHWA JINSI YA KUTUMIA MAFUTA HAYO. |
MZAZI AKIONGEA BAADA YA HUDUMA KUTOLEWA KWA WATOTO WAKE |