NYANYA CUP YAHITIMISHWA BUNDA MJI KWA KUNG'OMBE KUIBUKA MABINGWA








 Mamlaka za Michezo nchini zimeombwa kuwekeza  jitihada ya kutembelea mashindano ya mpira wa miguu yanayofanyika vijijini ilikunusuru vipaji vilivyopo katika maeneo hayo nabadae  kutumika  katika Timu za Taifa badala ya kuangalia michezo iliyo mijini pekee.

Kauli hiyo imeteolewa na wadau wa soka katika halsmahauri ya mji wa Bunda mkoani Mara katika mashindno ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na Mdau wa Michezo wilayani humo Yusuph Nyanya ikiwa nimsimu wa pili mfululizo yakiwa nahadi sasa yamechukua vijana kadhaa nakupelekwa  katikma Academ mbalimbali kuendeleza vipaji vyao kupitia mashindno haya.

Wadau hao wamaesema kama uongozi wa juu ikiwemo TFF ukijengwa utamaduni wa kutembelea vijijini utasaidia kwa kiasi kikubwa kufikia malengo ya vijana hayo ikiwemo kucheza katika ligi kubwa hapa nchini na nje ya nchi.

“Nadhan niwkati sasa hawa viongozi kuja huku vijijini kuna vijana wengi nawanaweza kazi mno nakuna vipaji vingi wasing’ang’anie mjini tu kutafta vipaji viko huku waje kwa wingi”Alisema Mjungu Mashauri mkazi wa Kung’ombe Buna mjini.

Akihitimisha mashindano hayo Mbunge wa Bunge la Afrika Mashiriki Fatuma Kange amewataka vijana kutumia michezo kutafta taarifa za biashara ilikufanya biashara katika jumuiya Afrika mashariki huku wakiendeleza vipaji vyao lakini pia wakijikita katika biashara zitakazo wasaidia kufikia kuendesha maisha yao.

Awali akizungumza katika hitimisho la mashindano hayo 

Aidha pia amewataka wadau wa michezo na halamshauri kuunda kamati ndogo kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira katika kijiji cha Kung’ombe wilayani bunda mkoani Mara ambao utakuwa fursa kwa vijana.

Powered by Blogger.