VIDEO MAKALINEWS.IDARA YA UHAMIAJI MKOANI MARA YAWATIA NGUVUNI WA ETHIOPIA WATATU NA WATANZANIA 5 ...



Naibu kamishna wa Uhamiaji Fredrick Kiondo wakati Akizungumza na Wandishi wa Habari hawako pichani.


Sehemu ya wahamiaji kutoka Ethiopia pamoja na watanzania waliokamatwa.

Sehemu ya Maafisa Uhamiaji wa kifanya ukaguzi kwenye Gari ambalo lilikamatwa likiwa na wahamaiaji haramu.

Gari ambalo lilikuwa limebeba wahamiaji hao.



                                      HABARI NA MATUKIO TUPIGIE 0754295996
TIZAMA VIDEO YA MKUU WA UHAMIAJI MKOANI MARA AKIZUNGUMZACHINI HAPA MARA BAADA YA SCRIPTI HIYO.



Idara ya Uhamiaji Mkoani Mara inawashikilia wahamiaji Haramu wa Tatu kutoka nchini Ethiopia na watanzania Watano wanaojihusisha na usafirishaji wahamiaji hao baada ya kuingia nchini Tanzania kinyume na taratibu za nchi wakitokea nchi jiarani ya Kenya.


Mkuu wa uhamiaji Mkoa wa Mara Naibu kamishna Frederick kiondo kwa kushirikiana na Ria wema idara yake imeafanikiwa kuwakamata raia kutoka Ethiopia wakiwa kwenye gari aina ya Toyota lenye namba za usajili T 388 PROBOX, huku akiwashikilia watanzania watano wanaojihusisha na biashara haramu ambapo ni wakazi wa sirari wilayani Tarime mkoani mara.


Kiondo amesema ili kuhakikisha wanamaliza vitendo hivyo wameamua kupambana na mtandao unaojihusisha na biashara hiyo ya usafirishaji huku akiahidi hakuna atakaye baki katika mapambano hayo.


Kwa upande wake afisa uhamiaji Wilayani Tarime Mbaraka Batenga amesema kati ya watanzania waliokamatwa wawili ni wa nafamilia, ambao wamekuwa wakitumika kupokea na kuwahifadhi wahamiaji ,wakati wakiwa katika juhudi za kuvuka kwa njia zisizo halali.


Nao baadhi ya wawatuhumiwa ambao ni watanzania wanaojihusisha na shughuli ya kupokea wahamiaji hao ,akiwemo Sebastiani Range amekili kufanya shughili hiyo kwa mda mrefu huku akijipatia ujira kwa mtu ambaye amekuwa akihusika na Bishara hiyo ambaye ni Mtanzania ishie nchini Kenya.


Aidha kwa mujibu wa naibu kamishna kiondo amewataja waliokamatwa ni Sebastian range 35,range maki 58 makoye manuka 27 ,Daniel manuka21, lubogo mwita 20 huku waethiopia akiwa ni sintayahu anyone,kakebo tasamo na nursing sultan.

Powered by Blogger.