MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AWATAKA VIJANA MKOANI MARA KUTOKUOGOPA.
![]() |
Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri james akizungumza na wakazi wa Nyamwaga huko wilayani Tarime. |
![]() |
katikati ni mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri James na kushoto kwake ni mwenyekiti wa Uvccm Tarime God ccm wakiambana katika ziara. |



![]() |
Mwenyekiti wa Uvccm Taifa akipanda mti kama ziara ya kumbukumbu ya Comred Kheri Denis James. |







![]() |
Mwenyekiti akizindua Tawi la wakeleketwa Mtaa wa J.k Nyerere Nyamwaga. |






![]() |
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kumpokea Nyamwaga. |



![]() |
Diwani kata ya V/M Nyamwaga Mariam Mkono akisalimiana mwenyekiti wa CCM Taifa.Add caption |


![]() |
Sehemu ya Vijana waliopokelewa na mwenyekiti wa Uvccm Taifa |




![]() |
kiapo cha chama kikiendelea mara baada ya kupokelewa vijana hao. |
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa vijana Taifa Hery james wakati akizungumza na wakazi wa kata Nyamwaga huko wilayani Tarime mkoani mara,mara baada ya kuzindua shina la ummoja wa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji thamani mbalimbali. Hery aliwataka vijana kuhakikisha wanajitoa kufanya kazi nakuahidi kurejesha maeneo yote ambayo yanashikiliwa na chadema kwa sasa.
Pia katika ziara yake Nyamwaga amepokea vijana 50 ambao wamepewa kadi kwa ajili ya kujiunga na chama cha mapinduzi.
Aidha kwa upande wake mwenyekiti wa vijana uvccm wilayani Tarime amesema watahakikisha wanaisimamia ilani ya chama cha mapinduzi nakuhakikisha vijana wanakuwa juu katika kiuchumi kwani mpaka sasa kuna vikundi zaidi ya 30 vimewezesha ili kuhakikisha vijana wanajikwamua kiuchumi.
Mwenyekiti anafanya ziara yake wilayani Tarime Mkoani mara na anahutubia vijana CMG MOTEL. TARIME Endelea kutufatilia tunakuletea kinachoendelea.