VIDEO MAKALIBLOG.WEZI WA MITIHANI MKOANI MARA KUKIONA.
Serikali mkoani mara imesema haitamvumilia mwalimu atakayejihusisha na wizi wa mitihani bali atachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kufukuzwa kazi.
Akizungumza katika kikao cha uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga kidato cha kwanza 2018 katika ukumbi wa uwekezaji uliopo katika ofisi za mkuu wa mkoa wa mara, kaimu katibu tawala mkoa wa mara Bwana Raphael nyanda alisema kilka atakayejihusisha atachukuliwa hatua kali za kidnidhamu ilikuondoa doa hilo.
Mkoa wa mara umeshika nafasi ya 13 kati ya mikoa 26 jambo ambalo linawafadhaisha huku akiwataka wakufukunzi wote kushikamana kwa ajili ya kupiga hatua zaidi huku serikali hiyo ikiahidi kuzimaliza changamoto zinazokabili shule hizo ikiwemo ukosefu wa madarasa na madawati katika mkoa huo kwa kushikama na wananchi.
Ambapo zaidi ya madawati 35,276 yanahitajika huku yalyopo yakiwa ni 12659 pungufu ikiwa ni 22,627 katika mkoa wa mara
Naye kwa upande wake afisa elimu mkoa wa mara Bwana emmanueli kisongi alisema kuwa nivyema sasa kuachana na umimi bali walimu wajikite kutoa elimu iliyobora kwa kushirikiana na wazazi ili kuufanya mkoa wa mara unapiga hatua katika elimu huku,hivyo kila mwalimu aliwataka kufanya kazi kwa kujitoa kila mmoja kwani hali nimbaya ya ufaulu.
Ambapo watahiniwa 60,251 ikiwa wavula 30,278 na wasichana 29,973 watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani wa PSEL ni wavula 52,458 huku wavula wakiwa 26,355 na wasichana 26103 ambapo sawa na asilimia 87.1%
Pia afisa elimu aliwataja wanafunzi waliofanya mtihani wakumaliza Elimu ya msingi 2017 ikiwa na juma ya wanafunzi 51,706 wavula 25,963 wasichana 25,745 ambapo wanafunzi waliofaulu ni 35,445 na wasichana 19,479 na wasichana 15,966 sawa na aslimia 67.6
Kwa mjibu wa afisa elimu mkoa alisema kuwa kwa mwaka 2016 ufaulu katika mkoa wa mara ulikuwa asilimia 69.11
Ambapo kwa mwaka 2017 ufaulu ulikuwa asilimia 68.55 hakuna ongezeko ila kuna upungufu 0.56.
Aidha wanafunzi ambao hawakufaulu 16,261 wavulana 6484 wasichana 9777 sawa na asilimia 31.4.
USHAURI HABARI TUPIGIE KWENYE
0754295996 au mussaj970@gmail.com