MWENYEKITI WA CCM MKOANI MARA ATUMA SALAMU UKAWA KUYAREJESHA MAJIMBO WANAYOYAMILIKI ;
mwenyekiti wa ccm aliyevalia shati nyeupe kushoto kwake ni katibu wa mkoa wa mara wakizungumza na wananchama waliofika katika ofisi za CCM MARA.
Alivyopokelewa.
mweneykiti akisalimiana na mwenyekiti wa Ccm wilaya Bwana Magiri
akiendelea kusalimiana na wajumbe mara baada ya kuwasili
mwenyekiti namba tatu akimuagiza kufanya kazi kwa ushirikiano mwenyekiti wa ccm wilaya
sehemu ya wajumbe waliofika kumsikiliza
PICHA ZOTE NA MAKALIBLOG
MAKALIBLOG.MARA
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara Bwana samweli kiboye marufu namba tatu amewataka wana ccm kuendelea kushirikiana nakuacha makundi huku akiahidi kuyarejesha majimbo na maeneo ambayo yanashikilkiwa ma upinzani mkoani humo
Aliyasema hayo katika viwanja vya ofisi ya ccm mkoani mara wakati akizungumza na wanachama wachama hicho wakati alipofika kusaini kwa mara ya kwanza kuanza kukitumikia chama hicho akiwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara.
Kiboye amewataka makatibu wa chama hicho mkoa kuhakikisha wanaacha makundi bali wafanye kazi kwa ushirikiano kwa lengo lakukitumikia chama nakumuunga mkono rais wa Tanzania joseph magufuli.
Pia mwenyekiti aliwataka makatibu kuwa makini kushawishiwa na baadhi ya watu ambao hawakitakii mema chama hicho bali wajitosheleze kwa kila kitu kwani wameaminiwa na chama kukifanyia kazi.
Namba tatu amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa ccm mkoani mara akitokea kuwa mwenyekiti wa ccm wilaya ya Rorya katika mkoa wa mara.
Toa maoni yako hapo chini ushauri
MATUSI (HAPANA)
Unaweza kutupigia kupitia
0754295996
mussaj970@gmail.com