WANANCHI WAGOMBANIA MAJI.
Wananchi wamtaa wa nyabisare iliyoka katika kata ya Bweri katika manispaa ya musoma
wamejikuta wakigombania maji baaada ya
mafundi wa mamlaka ya maji Musoma (Muwasa) wakati wa kijaribu kuunga
bomba ambazo wamelaza katika eneo hilo ilikuwafikishia huduma wananchi hao
angalia ilivyokuwa KWENYE VIDEO HIYO.