VIDEO.UMATI YA WAWASHIKA MKONO MABINTI WALIO ZAA CHINI YA UMRI MDOGO MKOANI MARA
Zaidi ya shilingi milioni 4 zimekabidhiwa kwa mabinti ambao wamezaa katika umri mdogo lengo nikuwawezesha kujikomboa katika vishawishi na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi mkoani mara
pesa hizo zimekabidhiwa Roda laulenti kwaniaba ya mkuu wa wilaya ya musoma Dkt Vicent Naano katika hafla iliyoandaliwa na Chama cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI.
TIZAMA HIYO VIDEO HAPO JUU UANGALIE KILICHO FANYWA NA UMATI