PICHA DC.MUSOMA ALIVYOZINDUA UPIGAJI CHAPA HALMASHAURI YA MUSOMA ANGALIA MATUKIO YOTE NIMEKUWEKEA

DR. Naano akizindua shughuli ya upigaji chapa wa Ng'ombe katika wilaya ya musoma.
![]() |
| alie inamaa ni DC wa musoma akiwa anafanya maandali kuzindua zoezi |

mkuu wawilaya akitoa somo la ufugaji bora kwa mmoja ya wafugaji

maafisa mifugo wakiweka mazingira sawa kuweka alama aliyeshirikilia mti ni Dr mjema afisa mifugo musoam






mwakilishi wa star tv musoma akifanya mahojiano na Dc mara baada ya zoezi la kupiga chapa.




Mkuu wawila ya musoma akinanena jambo na Dr mjema mara baada ya shughuli kuzinduliwa.



Dc Naano akiwa na baadhi ya wafugaji wakibadirishan mawazo



















Ngombe wapatao 85,000 wanatarajiwa kuwekwa alama maalumu ya utambuzi itakaweza kusaidia kujulika na mifugo ya kila eneo wilayani musoma.
ambapo sasa novemba 14 mkuu wawilaya ya musoma dkt. Vicent Naano amezindua rasimi uwekaji alama huo katika kijiji cha tegeruka huko katika hlamshauri ya musoma lengo ikiwa nikupunguza wizi lakini pia alisema kuwa nikuitambua mifugo iliyoka katika eneo husika.
picha video pitia makaliblog utaaona matukio mbalimbali katika uzinduzi wa shughuli hiyo.
Tupe maoni yako matusi (Hapana)
UNAWEZA KUTUPIGIA KUPITIA 0754295996 au mussaj970@gmail.com kwa habari zote.
