Acacia na Read international wakabidhi Makta...


kaimu Meneja wa kampuni ya ACACIA North Mara Abraham Van Ghant akifungua 
mlango jengo la maktaba hiyo baada ya mgeni rasmi kukata utepe


Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini Marwa Gekondo
kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Apoo Castro Tindwa
akizindua rasmi Maktaba ya jamii iliyokarabatiwa na Mgodi wa Uchimbaji
wa Dhahabu ACACIA North Mara kwa kushirikiana na Shirika la Read
International katika Shule ya Sekondari Nyamongo.


Wanafunzi Shule ya Sekondari Nyamongo.



Wenyeviti wa Serikali za vijiji wakiwa katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyamongo ili kuzindua rasmi Maktaba ya jamii.


Marwa Ngocho Mwenyekiti wa serikali ya kijiji Nyangoto akitoa shukrani kwa niaba ya Wenyeviti wote.




Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamongo Nicolaus Warioba akitoa shukrani kutokana na shule yake kupatiwa Maktaba


Afisa Elimu Kata ya Matongo Paul Chacha akisisitiza jamii kujisomea kupitia Maktaba hiyo iliyozinduliwa rasmi.



Mariam Rodrick Mwakilishi wa Shirika la Read International akisoma risala kwa
Mgeni rasmi ambapo amesema kuwa Maktaba hizo tatu zililzokarabatiwa na
kuwekewa vifaa vyote katika Shule ya Sekondari Nyamongo, Inchugu na JK
Nyrere kwa kushirikiana na ACACIA zitakuwa chachu ya wanafunzi na jamii
kujisomea.

Maria ameongeza kuwa Maktana hiyo imetumia kiasi cha Shilingi 24,032,808.

Kaimu
Meneja wa kampuni ya ACACIA North Mara Abraham Van Ghant akiongea kabla
ya uzinduzi wa maktaba hiyo ambapo amesema kuwa uwepo wa maktaba hizo
itakuwa chachu kubwa kwa wanafunzi kusoma na kutimiza ndoto zao baada ya
mafanikio.

Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini Marwa Gekondo
kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Apoo Castro Tindwa akiongea na jamii kabla ya uzinduzi wa maktaba hiyo.


Wanafunzi wakitoa Burudani.







Maktaba




Kaimu Meneja wa kampuni ya ACACIA North Mara Abraham Van Ghant akisoma kitabu katika maktaba hiyo.

Powered by Blogger.