TGNP MTANDAO WATETEA BAJETI YENYE MILENGO SAWA WA KIJINSIA


Mary Nsemwa Mwezeshaji na Mchambuzi wa Bajeti Kijinsia TGNP akieleza lengo
na Mikakati ya TGNP Mtandao kuhakikisha Halmashauri zinapotenga bajeti
zao zinakuwa na milengo ya Kijinsia
 Vituo vya taarifa na maarifa Nyakonga na Regicheri Wilaya ya Tarime Mkoani
Mara wakiimba wimbo uliobeba ujumbe katika kutetea haki na usawa pindi
halmashauri zinapokuwa zinapitisha na Kupanga bajeti zao.
warsha hiyo imeshirikishabaadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Tarime kutoka idara tofauti ikiwemo idara ya Kilimo, Maendeleo ya
Jamii, Fedha Vituo vya taarifa na maarifa Regisheri na Nyakonga pamoja
na Watendaji wa kata hizo



Warsha inaendelea katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.






Siwema
Sylivester kutoka idara ya Maendeleo ya jamii kwa niaba ya Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime akijibu hoja zilizowasilishwa katika
Warsha hiyo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Moses Misiwa Yomami akifungua rasmi warsha hiyo.

Maigizo yaliyobeba ujumbe

Risala kwa Mgeni rasmi.

Sylivanus Gwiboha Afisa Kilimo Halmashauri ya Wilya ya Tarime akichangia hoja katika warsha hiyo






Powered by Blogger.