CHAMA CHA SOKA MKOANI MARA (FAM) WAIPIGA JEKI YA MIPIRA BIASHARA UNITED MARA YA MJINI MUSOMA:

kulia ni katibu wa chama cha soka mkoani Mara kushoto mwnye shati nyekundu ni selemani mataso akipokea mipira hiyo


mipira iliyokabidhiwa kwa timu ya Biashara united Mara.
Na makaliblog: Mara.
Chama cha soka mkoani mara leo kimekabidhi mpira kwa uongozi wa timu ya biashara United mara mipira ambayo itasaidia katika mazoezi ya kujiandaa na ligi iliyoko mbele yao.
Timu ya Biashara united mara baado inachangamoto mbalimbali ukizingatia inajiandaa kuelekea katika mashindano ya ligi hivyo wadau mbalimbali wameombwa kujitokeza kuisadia ili kuitoa katika matatizo nachangamoto mbalimbali inakabiliwa nayo ambapo pia kujitokeza kwa wadau kuipa mkono timu hiyo itaipa nguvu ya ushiriki bora wa ligi Daraja la kwanza wewe mwana mara na usie mwanamara mpenda soka jitokeze kuishika mkono timu hii ilikuliweka sehemu husika soka letu la tanzania kwa ummoja wetu.
Timu ya Biashara united mara inashiriki ligi daraja la kwanza Tanzania Bara baada ya kuchukua nafasi ya timu ya Polis Mara.
TUPE USHAURI MAONI YAKO HAPO CHINI
( MATUSI HAPANA)