VIDEO NA MAKALIBLOG;MTIZAME MKURUGENZI WA KOMOTE INSURANCE AGENCY KANDA YA ZIWA AKIZUNGUMZIA WIZI WA BIMA,PICHA NA MATUKIO YOTE HAPO CHNI ANGALIA;

Daniel komote mkurugenzi wa komote insurance Agency kanda ya ziwa



Wadau wakiwa katka mafunzo.
Na Makaliblog.
Jeshi la polis kitengo cha usalama barabarani mkoani Mara,limeanza msako wa kuusaka mtandao wa makampuni yanatoa bima feki katika wilaya mbali mbali mkoani mara kutokana na kukithili kwa tatizo hilo la kutapeliwa kwa wamiliki wa vyombo vya moto.
Baada ya kuwepo kwa taarifa hizo za utapeli wa bima nakudaiwa baadhi ya watu wasio weledi kuendeleza wimbi la utapeli kwa watumiaji wa vyombo vya moto mkoani mara nahata maeneo mbalimbali.
Ambapo sasa Baadhi ya wa miliki wa makampuni ya ukataji wa bima kanda ya ziwa ikiwemo komote insurance Agency amechukukizwa nawimbi la utapeli linalofanywa na wakataji wa bima katika makampuni ambayo yasiyo rasmi katika maeneo mbalimbali hususani kanda ya ziwa.
Makaliblog imezungumza na mmoja wa wamiliki wa kampuni za Bima ambae pia nimkurugenzi wa komote insurance Agency Bwana Daniel komote alisema kampuni hazina bima feki sipokuwa bima hizo feki ziko mitaani.
Vitendo ambavyo vinapelekea hata makampuni yaliyochini ya mamalaka ya bima kuonekana hayafanyi kazi kutokana na watumiaji wa vyombo vya moto kukata bima zao mitaani nakushindwa kufata ofisi zilizosajiriwa kufanya kazi hiyo.
Daniel alisema kuwa wezi wamekuwa wakiigiza kutengeneza bima feki kwa kuiga bima za tila ilikuwatapeli wananchi ambapo sasa mamlaka ya Bima imekuja na mfumo mpya ambao sasa utawafanya wananchi kutambua bia original na Bimafeki ilikuondokana janga hilo.
‘Sahivi wezi wanatmia mbnu nyingi sana kikiwemo wanatengeneza Bima kama zetu lakin nifeki ila sasa yaani nikama kutengenezaji wa fedha bandia lakini sasa mamlaka imeleta mfumo ambao nikomesha kabisa”alisema Daniel komote
Aliongongeza kuwa mfumo huo ambapo sasa wanatumia kutoa elimu kwa mtumiaji lakini pia kunamfumo ambao unatambua bima zilizofeki hivyo wameamua kutoa elimu kwa wananchi nahata watumiaji wa bima ili kuliondo tatzo hili ambapo limekuwa lamda murefu sasa.
Mkurugenzi ameongeza kwa kuwataka watumiaji wa bima kuacha kukata bima za vyombo vvao vichochoroni kwani mamlaka ya bima inao mawakala ambao wanafanya kazi hiyo kwani wanatoa mawakala wenye sifa za kutoa elimu hiyo.
Ambapo alisema kuwa mamlaka ya bima imekuwa ikiweka mawakala wenye sifa za kufanya shughuli hiyo ilikumuwezesha mtumiaji wa bima huyo kutambulika popote anapokuwa amekatiwa bima feki hivyo amewataka kutumia ofisi ambazo zimesajiiwa.
Wakati huo huo mamlaka ya bima kupitia kamishina imeendesha mafunzo mkoani mara kwa ajiri ya kuwajengea adau kutambua bima feki na bima origina baada ya mkuu wawilaya ya musoma Dk vicent Naahano kuomba kutolewa kwa hiyo ya bia mkoani hyo baada ya kuibuka wimbi kubwa la utapeli wa bima.
TAMNGAZA NA MAKALIBLOG POPOTE ULIPO
TUPE MAONI YAKO (MATUSI HAPANA)
TUPIGIE KWA SIMU NAMBA 0754295996
TUPIGIE KWA SIMU NAMBA 0754295996