Video: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais alivyoshiriki uzinduzi wa maadhimisho wa siku ya mazingira


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano  Mazingira Profesa Faustine akikata utepe


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano  Mazingira Profesa Faustine Kamuzora kwa niaba ya waziri wa Wizara hiyo  January Makamba afungua rasmi Maadhisho ya Mazingira Kitaifa hii leo ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Mara wilayani Butiama Viwanja vya Mwenge na kilele chake ni kesho mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.



Baada ya kukata Utepe


Mkuu wa wilaya ya Butiana Annarose Nyamubi akiongea na Wanachi baada ya kuzindua rasmi Maonyeshi hayo katika viwanja vya Mwenge hii leo

Wanaelekea kutembelea Vibanda vya Maonyesho kulia ni mkuu wa Wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi.

Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akiongozana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mazingira Profesa  Faustine Kamuzora baada ya kufungua rasmi maonyesho hayo sasa wanatembelea vibanda vya maonyesho.

Akisaini kitabu cha wageni



Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Mkoani Mara katika maadhimisho hayo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mazingira Profesa  Faustine Kamuzora akisaini kitabu cha wageni  katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tarime.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mazingira Profesa  Faustine Kamuzora akisaini kitabu cha wageni  katika banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tarime.

                TAZAMZA VIDEO KATIKA UFUNGUZI HUO
Powered by Blogger.