AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KWA KUIBA SIMU;

samahani msomaji kwa picha hiii.
Na makalinews.MaraAfariki dunia kwa kuiba simu
Mtu mmoja
aliefahamika kwa jina la Charles angulo amepigwa hadi kufariki dunia huko
katika kijiji cha Rwang’enyi katika kata ya Nyamtinga huko wilayani Rorya mkoani
Mara kwa kudaiwa kuiba simu.
Baada ya
kuwepo kwa tarifa hizo tumezungumza na mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho cha Nyarombo Bwana Josephy Yahaya ilikujua
ukweli kuhusiana tukio hilo lakijana wakijiji chake kukamatwa katika kijiji
kingine akiwa anatuhuma ya wizi,amekiri
kuwepo kwa tukio hilo.
Ambapo
amesema kijana huyo alienda kuiba kijiji cha Rwang’enyi kilichpo nje kidogo ya
kijiji chake ndipo akawa amekamatwa na
kupigwa hadi kupoteza maisha ambapo wenzake watatu aliokuwa nao wakatokomea
kusikojulikana.
Mwenyekiti
amesemakuwa hatakama ingekuwa vipi asingeweza kiongozi yoyote kuzuia kwani
ilikuwa usiku na wananchi walikuwa niwengi hakuna kiongozi ambae angeweza
kuwazuia kufanya walilokuwa wanataka kufanya.
Amesema
kuwa pamoja na watu kujishughulisha lakini katika jamii wapo watu ambao akiri
yao inawaaleekeza kazi yao nikuiba
ambapo Baadhi ya viongozi wamekuwa wakijitoa kutoa elimu ya kutokujichukulia
sheria mkononi lakini hakuna mtu anaezigatia hilo hata diwani wkata ya
nyamtinga pamoja na diwani wamekuwa wakijtuma kutoa elimu yawatu hawa kuacha
kufanya mambo ya ajabu lakini hakuna linazingatiwa imefikia hata hatua ya
kuwaadhibu wengine lakini hakuna.
Aidha
Maiko Wambura yeye ameonyesha kusikitishwa na tukio hilo nakuwataka wananchi
kutokujichukulia sheria mkononi ambapo amesema nimahakama peke yake inayoweza
kuhukum Raia na simwanandamu lakini pia akatumia fursa hiyo kuwataka vijana
ambao wamekuwa nitatizo kwa kulalamikiwa basi kujishughulisha ilikuondokana na
matatizo ambayo nikero kubwa kwa wananchi ambayo inaweza kuwaletea matatizo
familia zao nawao wenyewe kwakupoteza maisha.
source MAKALIBLOG.