NMB MUSOMA WAKABIDHI VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI TANO;

NA MAKALIBLO
sipicha ya tukio husika
Bank ya
nmb musoma imetoa msaada wa vifaa tiba ikiwemo vitanda nane vye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni tano katika hospitali ya nyasho
iliyoko mjini musoma mkaoani mara ikiwa lengo nikutimiza adhima ya kurudisha
shukrani kwa wateja wao kwa faida ambayo awanaipata.
Akikabidhi
vifaa hivyo mbele ya mkuu wawilaya musoma meneja wa kanda wa banki ya NMB bw,
abrahaman Augustine amewapongeza wananchi wawilaya hiyo kuendelea kuitumia
banki hiyo nkuwashukuru kuhuiana kwa nmb wanatoa kipaumbele kuhusian na swala
la afya kwani nijambo mhimu kuliko kitu chochote.
Amesema
kuchangia vifaa tiba hivyo ni mmoja ya adhima yao katika vipaumbele
wanavyovitoa katika jamii nikuhudumia katika sehemu ya afya kwani changamoto
katika swala la afya na elimu ndio
kipaumbele cha NMB ambapo amesema walifarijika kusihusiana naombi yaliyotolewa
na hospitali yanyasho ambapo kwao nikama sehemu ya ushiriki katika huduma za
kijamii.
Amesema
kila wanachokipata kama NMB kutoka kwa wanajamii wanaoshirikiana najamii
inayowazunguka na jamii wanayofanya nayo biashara niwajibu wao kuihudumia
ambapo kila mwaka wamekuwa wakitenga asilimia moja kwa faida baada ya kodi
nakuipeleka katika jamii kwakushirikiana na serikali wakati wamajanga
yanayogusawatu wengi moto,mafuriko, tetemeko la ardhi ambapo mwaka mwaka huu
wametenga kiasi cha shilingi bilioni moja kama sera ya uchangiaji inavyowataka.
Kwa upande
wake mkuu wawilaya ya musoma DR. vicent naahano amewashukuru NMB kwa msaada
walio utoa kwani nijambo la kufurahia kutokana na michango yao wanayoendela
kuitoa lakini pia kutokata tamaa lakini pia kuendelea kutoa shukrani kwa wateja
wao faida wanayoipata kwani wao nikama darasja sasa la mkoa wa mara.
‘Nmb tunawashukuru sana mmetoa hizo
milioni tano sihaba kwani tumepita huko kwenye vyumba vya wagonjwa wakina mama
wanalala wawili wawili bado tunachngamoto msichoke kutoa shukrani kwa wateja
wenu’’ alisema vicent naahano.
Lakini pia
amesema wasiwakimbie kwani baado hospitali hiyo wanasafari ndefu ya upanuzi wa jengo
la hospitali kwani hospitali hiyo inalaza wagonjwa wajinsia mmoja wakike
kutokana na kukosa baadhi ya vifaa tiba ikiwemo majengo kwa ajiri ya kutolea
huduma hivyo bado wanahitaji msaada zaidi kutoka kwa NMB.
‘Bado tunahitaji upanuzi wa vyumba vya wagonjwa
mkitupa badae tena kama mkitupa nyie mkitupa mifuko miambili miatano nitaomba
magereza watatusaidia basi tutakuwa tumefika mbali sana kwahiyo nmb
tunawashukuru sana.alisema naahano.
Kwaupande
wake naibu meya wamanispaa ya musoma bw shabani jala wambura alizungumza
kwaniaba ya meya amewataka NMB kuangalia zaid naswala uchangiaji elimu kwani
nimmoja ya kuboresha maendeleo ya sekta hizo lakini pia ameyataka makampuni
mengine kuiga mfano wa nmb wanavyofanya kwa kurusha wanachokipata kwa jamii
inayowazunguka.
Hospitali
yanyasho inahudumia wananchi wamanispaa ya musoma na nje ya manispaa hiyo
ambapo kinatoa huduma upasuaji wadharula
zaidi ya wakati elfu thelathini na tano namiatatu albaini na saba huku wahudumu
wa hospitali hiyo wakiwa hawakidhi mahitaji ya kuhudumia wananchi wanaohudumiwa
katika hospitali hiyo.