MKURUGENZI WA MARIE STOPES AWATAKA WANAMARA KUJITOKEZA KUCHUNGUZA AFYA
Na Makaliblog;
Mkurugenzi
wa maries topes BW.MWEMEZI NGEMERA,amewataka wakazi wa mkoa wamara kujitokeza kuchunguza afya
katika shughuli waliyoiandaa kwa ajiri ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali
ikiwemo saratni ya shingo ya kizazi ambayo inafanyika katika wilaya ya musoma
mkoa mara.
Watanzania
wametakiwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo upimaji wa magonjwa
mbalimbali ikiwemo saratani ya shingo yakizazi,vvu, na matumizi ya uzazi wa
mpango mashirika yanapokuwa yanajitokeza katika jamii kwa ajili ya kutoa huduma
hizo basi wawe nakipaumbele kwa ajiri ya kupima magonjwa yaliyopewa kipaumbele.
Hayo ya
mesemwa na mkurugenzi wa marie stopes BW.MWEMEZI
NGEMERA,alipokuwa akizungumza na mwandishi wa habari hizi amesema
wananchi waaondokane na tabia ya
kusubiri kuugua ndipo waaende kucheki afya zao hivyo amewaomba kuzitumia fursa
za upimaji afya zinazotolewa na maries topes kwa ajiri ya uchunguzi wa afya kwa
akina baba,mama pamoja na vijana.
Ambapo ‘maries
topes’ kupitia kwa mkurugenzi wake bw, mwemezi ngemera amesema wako
mkoani mara kwa ajiri ya kusadia wakazi hao kuendesha zoezi la upimaji lakini pia kutoa huduma mbalimbali ikiwemo
kuelekeza jinsi ya kupanga uzazi kwa wanandoa nahata ambao hawako katika ndoa.
Ngemera
amewataka wanamara kujitokeza kwani huduma hizo zitolewa bure bila kuchagiwa
gharama yoyote lakini pia wamepanga utaratibu wa kuwapa rufaa endapo kama kutakuwa
na mgonjwa atakae patikani kumsafirisha na kumpeleka katika hospitali ambapo
ataenda kupata huduma kuhusian na ugonjwa amabao amekutwa nao.
Pia
amesema kuwa utaraibu huu utakuwa katika maeneo kwani wanao watalamu
wanaozunguka katika maeneo mbalimbali kwa ajiri ya kutoa huduma za uzazi wa
mpango pamoja na magonjwa mbalimbali ambayo wameyapa kipaumbele kuyapima.
Mkurugenzi
huyo amesema mkoa wa mara nikati ya mikoa ambayo katika swala la uzazi wa
mpango hawajafikia hata asilimia 20% kutokana na kukumbwa na mila potofu baina
ya wakazi wake kwamba mtu ambae atapanga uzazi hatoweza kushiriki tendo la ndoa
jambo ambalo sikweli.
‘’Baadhi ya watu wanaendekeza sana mila
kwambasasa nikifunga kizazi sitoweza kushiriki tena aaah wanataka
kutufungia.alisema ngemera’’
Marie
stopes wamekuwa wakitoa huduma mbalimbali kupitia vituo mbalimbali viliko
mikoani ambapo wialayni musoma kituo chao kipo katika kata ya kamu nyonge
nakwamba kuna usafiriambao unakuwa nimaalum kwa ajiri ya kuwafata watu ambao
hawatoweza kufikamaeneo hayo kwaajiri ya
huduma.
Aidhn nafsi
hii nia dhimu sana kujitokeza hivyo wanamara na watanzania wote tuzitumie vyema
zinavyokuwa vimejitokea kama ambavto mkurugenz wa maries topes amejitoa pamoja
na wafanyakai wake ilikuwaokoa watanzania walio namatatizo ya magonjwa
mabalimbali kwani huduma hizo zinatolewa bila malipo.