Kauli ya Zitto Kabwe na Hussein Bashe Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua Nape
Baada
ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo
kutengua uteuzi wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Nape
Nnauye.....mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe wametoa kauli kuhusiana na sakata hili
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika: "Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu"
Bashe kupitia Instagram kaandika:You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.

You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.
Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.