DK:SHEIN AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya
Serikali na Binafsi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,sambamba
na kutimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kushika nafasi ya Urais.
Baadhi ya
waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar leo,akiwa ametimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kwake
kushika nafasi ya Urais.
Baadhi ya
waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar leo,akiwa ametimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kwake
kushika nafasi ya Urais.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali
mbali vya Serikali na Binafsi (hawapo pichani) leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wahariri na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali
mbali vya Serikali na Binafsi (hawapo pichani) ambapo tayari
ameshatimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kuwa Rais wa
Zanzibar,mazungumzo hayo yalifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.
Mwaandishi wa Habari mwandamizi wa ITV,Redio One Sterio Farouk Qarim
akiuliza suala kuhusiana na Mafuta wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na
Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali ambapo tayari
ameshatimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kuwa Rais wa
Zanzibar,mazungumzo hayo yalifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Shirika la Habari la ZBC Iman Duwe akiuliza suala linalohusiana na
pencheni ya Wazee wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wahariri na
Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar,sambamba na kutimiza mwaka mmoja tokea kuapishwa kushika
nafasi yake ya Urais, [Picha na Ikulu] 23/03/2017.