Kuna watu wamekasirika mimi kumsaidia Wema Sepetu

Wakili wa Wema Sepetu Albert Msando amefunguka na kusema kuwa kuna watu ambao hawajapendezwa kuona ameingia katika kesi ya Wema Sepetu na kwenda kumsaidia kisheria

Albert Msando anasema wale wote ambao wameungana na kupigana naye vita kisa tu amekwenda kumsaidia Wema Sepetu wanapaswa kutambua kuwa Wema Sepetu ni kama mtu mwingine ambaye si mkamilifu ila si mtu mbaya na ana moyo wa upendo.

"Ushawahi kuwa na dada ambaye yupo tofauti na wewe? Rafiki ambaye huwezi hata kuelezea kwanini ni rafiki yako? mimi ninaye ambaye ni Wema Sepetu, Kuna watu wameongea walichoongea. Wamekasirika mimi kumsaidia Wema. Ila ukweli unabaki kwamba Wema Sepetu has her following. lazima nimesem yeye kama ilivyo mimi na wewe sio mkamilifu. She has her share of mistakes. And failures. But she is not a bad person. She has a special heart." aliandika Albert Msando 
Mbali na hilo Msando amesema kuwa kitu anachokifanya yeye ni kumsaidia na kumuongoza Wema Sepetu kuwa mtu mzuri licha ya makosa yake na kutambua uwezo na thamani yake na kufanya jambo hilo siyo sheria tena bali ni urafiki.
==>“Have you ever had a sister who is the opposite of you? A friend who you can not explain why he or she is your friend? I have. Having a one-on-one with Wemasepetu. Kuna watu wameongea walichoongea. Wamekasirika kumsaidia Wema,” aliandika mwanasheria huyo Instagram.

“Ila ukweli unabaki kwamba Wemasepetu has her following. I must say yeye kama ilivyo mimi na wewe sio mkamilifu. She has her share of mistakes. And failures. But she is not a bad person. She has a special heart. Her charge is “to be found in possession of small amount of narcotics drugs commonly known as bhangi. 1.85gms” nothing serious. Kweli au si kweli ni kazi ya Mahakama. Kwa hiyo kwa wale ambao wameamua kupigana vita kwa kuniattack I am leaving it to them. For me all I have to do is, guide her to being better and realising her full potential. Thats not law. Thats friendship. #PresumptionOfInnocence #EqualityBeforeTheLaw #SayNoToDrugs #TheDon #WemaWaNyumbani #Now #OneToOne #Laughing #SheIsOkay #SheIsfine #Lessons.

Muigizaji huyo anatakiwa kurudi mahakamani February 28 ili kujibu mashta matatu ambayo yanamkabili.
Powered by Blogger.