Wachimbaji wadogowadogo 14 akiwepo mchina mmoja wanaripotiwa kufukiwa na kifusi katika mgodi wa RZ uliopo mkoani Geita. ITV imeripoti kuwa watu hao wamefunikwa
na kifusi katika mgodi wa RZ wenye urefu wa mita 38 kushuka chini
usiku wa kuamkia leo saa 8 usiku na juhudi za kuwaokoa zinaendelea.