CHOMETE AIKUMBUSHA SERIKALI BILIONI 14 ZINAZOHITAJIKA HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE KWANGWA.





Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Mara Ghati Chomete ameiomba serikali kutoa shilingili Bilioni 14 kwaajili ya ukamilishaji wa hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Maarufu kwangwa.

Kauli hiyo ametoa wakati akichangia mjadala katika wizara ya Afya ambapo  amesema licha ya hospital hiyo kutoa huduma hadi nchi jirani lakini bado jitihada zinahitajika katika kuboresha utoaji wa huduma katika hospital hiyo ya Rufaa ili itoe huduma kwa kuendana na jina la mwalimu Nyerere.

 

Niwapongeze sana wafanya kazi katika sekta ya Mkoa wa Mara tumeona kwanamna wanvyohudumia wananchi wa mkoa wa mara katika sekta hii ya Afya kazi kubwa inafanyika”Alisema Ghati Chomete wakati wa mjadala wizara ya Afya.

 

Chomete amemuomba waziri wa Afya Mheshimiwa Mchengerwa amemuomba kupeleka shilingi Bilioni 14 ambazo zinahitajika kwenda kumaliza miradi kwenye hospital hiyo zitolewe ili kusaidia kuongeza utoaji wa huduma kwani hospital hiyo inahudumia wananchi hadi nchi jirani na mikoa jirani.

 

Pia katika hatua nyingine Ghati ameiomba serikali kuangalia namna ya kupeleka maabara ya saratani kwani licha ya uwepo wa daktari Bingwa wa magonjwa hayo lakini hospia hiyo haina maabara ambayo imekuwa changamoto kwa akina mama hususani wa saratani ya matiti.

 

SPEECH

Anafanya vizuri na wizara inachangamka hongera sana mheshimiwa waziri ni wewe pamoja naibu waziri dada yetu florence na wafanyakazi wote wa wizara ya afya tunawapongeza kwa namna wanaofanya kazi mheshimiwa mwenyekiti niwapongeze pia na wote Wafanya  kazi katika sekta ya afya ya mkoa wangu wa mali tumeona kwa namna wanavyowahudumia wananchi wa mkoa wa mara katika sekta hii ya afya mheshimiwa mwenyekiti nimesema nampongeza Rais kwa namna anavyotuletea fedha za miradi ya pesa hii afya katika mkoa wetu wa mara mheshimiwa mwenyekiti ni kwa muda mrefu hospitali ya mwalimu nyerere ilikuwa haifanyi kazi lakini kwa huruma za mheshimiwa Rais ameweka fedha nyingi na sasa hospitali ile inaendelea kufanya kazi kwa kuwahudumia wananchi wa mkoa wa mara na maeneo mbalimbali pamoja na pongezi hizo mheshimiwa waziri bado kuna changamoto tunashukuru tumepokea lakini pia tumepokea mradi ya watoto wenye changamoto ya uzito wa shilingi milioni moja lakini mheshimiwa mwenyekiti bado tuna changamoto kwanza tulia wetu bado tunaomba shilingi bilioni 14 kwa ajili ya kumalizia hospitali ya mwalimu nyerere bado kuweka hizo hazijaletwa mheshimiwa mwenyekiti nikuombe mheshimiwa waziri wewe ni mkutano wa mwalimu nyerere umekusikia mara nyingi kwenye nukuu zako ukinukuu nukuu za mwalimu nyerere na hospitali ile ni majina ya mwalimu nyerere nikuombe shilingi bilioni 14 ambazo zinahitajika kwenda kumaliza miradi kwenye ile hospitali kuzipeleke ili wana mara waendelee kupata neema na sio mara siwezi ile inahudumia wananchi kutoka kenya kutoka sindio kutoka maeneo yaliyoizunguka mkoa wa mara ninakuomba sana mheshimiwa waziri kwa unyenyekevu mkubwa ukaitizame hofu kuzaliwa ili kusudi fedha ziende miradi ile ile iweze kukamilika sambamba na hilo mheshimiwa waziri kituo pale ambacho kuna daktari pale wataratani ambaye yuko pale lakini hatuna maabara ya saratani saratani wagonjwa wengi wa mkoa wa mara ambao ni mama zangu wana saratani ya matiti lakini pia saratani ya damu lakini pia mheshimiwa waziri nayahukumu hatuna kifua hakuna maabara tunakuomba ututazama hivi lakini mheshimiwa waziri sambamba na hiyo sisi wana mara tunakutegemea sana katika huduma hizi ambazo mnatarajia kutufanya niende kwa kuikemea huduma ya bima ya afya ambayo ni kielelezo kikubwa cha daktari cha miaka mitano anatamani kila mtanzania aweze kupata huduma hiyo ya bima ya afya tunaomba elimu kubwa historia kwa watu wa chini ili kusudi waweze kuelewa nini maana ya huduma hiyo ya afya lakini pale wanapoenda kwa kupata huduma wapate huduma kwenye kituo huduma ya madawa mheshimiwa waziri nakushukuru sana ninaunga mkono hoja asante sana asante mchango wako nilimtaja mheshimiwa hawa mchafu cha

 

 

 

 

Powered by Blogger.