DED Ileje AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI WAWILI WA SERIKALI, UNAWEZA PIA KUANGALIA SEHEM YA PICHA ZA MADIWANI
BARAZA
la Madiwani Wilayani Ileje limebariki kufutwa kazi kwa watumishi wawili
wa Halmashauri hiyo kutokanana makosa ya wizi wa mamillioni ya fedha za
wafadhili za mradi wa UKIMWI wa water reed
Akizungumza
wakati wa kufungwa kwa Baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya
ya Ileje Ubatizo Songa amesema kuwa, wameamua kuchukua uamuzi huo mara
baada ya kuridhishwa na uchunguzi uliofanywa na kamati
ya uchunguzi iliyoundwa na Ras wa Songwe na kubaini kuwa, Mganga Daraja
la pili Josephat Yisuya na Grace Kibona wameweza kuingizia Halamashauri
hasara ya zaidi Milioni 84.
“Josephati
aliweza kujipatia kiasi cha fedha shilingi milioni 36254200 /-wakati
Grace Kibona Mhasibu Daraja la kwanza aliweza kujipatia Kiasi cha
shilingi milioni 48742500/-fedha za mradi wa Water Aid zilizofika katika
Halmashauri ya wilaya ya Ileje”alisema Songa
Mwenyekiti
huyo ameagiza watu hao kurudisha kiasi hicho chote cha Fedha katika
Akaunti ya Halmashauri hili ziweze kufanya kazi zingine.
kwa
mtumishi mwengine Anna mwakipesile kesi yake bado inaendelea na
uchunguzi wakati huo watumishi 2 baada ya kamati ya uchunguzi iliyoundwa
na ras songwe waliachiwa huru na kurudishwa kazini baada ya tume
kuridhika na utetezi wao.
Wakati
huo huo Mkurugenzi mtendaji Bw Haji Mnasi amewavua vyeo wakuu wa shule
wawili ambao ni Henry Musomba wa sekondari Ibaba na Emecka Minga wa
sekondari Ngulugulu kwa makosa mabalimbali yakiwemo utoro,uzembe ,lugha
chafu na matumizi mabaya ralislimali
Aidha
Mnasi alisema kuwa ni wakati wa kila mfanyakazi wa serikalini
kujitathimni kwa kile alichofanya kwani waliotuhumiwa ni wengi lakini
bado uchunguzi unaendelea hivyo hawajaishia hapo kwani kila mmoja
atakayebainika kufanya ubadhilifu sheria itafata mkondo wake.
Ametoa
onyo kwa watumishi kuacha kujihusiha na mambo yaliyo kinyume na maadili
ya utumishi wa kwa kujiingiza katika masuala ya kifisadi serikali
aitamfumbiamcaho kwani hu ni wakatii wa kuwahudumia wananchi wa nyonge
kwa maslahii ya Taifa.
“Mimi
sipo tayari kufukuzwa kazi kwa uzembe wa watumishi wazembe nitafuatili
utendaji wa watumishi wote wa Ileje ili tuweze kuwatumikia wananchi kama
inavyopaswa na kuidumisha kauli ya hapa kazi tu iliyotelwa na rais wetu
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli” alisema
Mnasi.