Mkurugenzi
wa Upeleleziwa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi, (DCI), Kamishna wa
Polisi Diwani
Rais
Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa Makosa ya
Jinai Nchini (DCI) Diwani Athumani (Pichani) kwa mujibu wa taarifa ya
Ikulu muda huu imeeleza.
Taarifa ya Ikulu