MAKALINEWS.BARAKI SISTERS FARM YA PONGEZWA KWA MRADI WAKE WAKUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE.MARA

Pichani
ni Kaimu Afisa Elimu Bi. Joyce Tongori akifungu kongamano la shule za
sekondari na Msingi lilloandaliwa na baraki sisters Farm kwa ushirika wa
The Foundation for civili Society katika shule ya sekondari.
Sehemu ya wanafunzi wa shule ya Msingi Kines wakiimba nyimbo za uumbe wa kuitaka serikali kuwasaidia watoto kuachwa kukeketwa. ni Kaimu Afisa Elimu Bi. Joyce Tongori akifungu kongamano la shule za
sekondari na Msingi lilloandaliwa na baraki sisters Farm kwa ushirika wa
The Foundation for civili Society katika shule ya sekondari.
Sehemu ya wazee wa kata ya Komuge waliofika katika bonanza hilo wakifatilia kwa umakini.
Sister Frorence Bhoke akimkabidhi Zawadi mmoja wawanafunzi walioimbuka washindi katika kongamano.
Katikati
ni Mwema Salum Afisa maendeleo ambaye pia ni Mratibu Dawati la jinsia
Rorya na Kushoto kwake ni Mwalimu Joyce kaimu Afisa Elimu Rorya. kushoto
ni Mchungaji Mollel Mratibu wa Dawati la Utetezi KKKT Mara.
PICHA NA MAKALINEWS.
ni Mwema Salum Afisa maendeleo ambaye pia ni Mratibu Dawati la jinsia
Rorya na Kushoto kwake ni Mwalimu Joyce kaimu Afisa Elimu Rorya. kushoto
ni Mchungaji Mollel Mratibu wa Dawati la Utetezi KKKT Mara.
PICHA NA MAKALINEWS.
Wanafunzi wakiigiza Namna Mtoto wakike anavyolazimishwa hadi kukekeketwa.
Mr mgimba Mratibu wa Mradi
Shomari Binda mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania akiimba ushairi katika katika kongamano |
Diwani wa kata ya Komuge WiliamNestory akitoa neno katika kongamano .
Zawadi zilizoandaliwa kwaajili ya washindi,
Sister. Frorence Bhoke akitoa Neno wakati wakufunga Kongamano hilo.
Zawadi zikiendelea.
PICHA NA MAKALINEWS.
Serikali
wilayani Rorya Mkoani Mara imeupongeza mradi wa wa kuimarisha haki za
wanawake walioahiriwa na ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji katika mkoa wa Mara.
wilayani Rorya Mkoani Mara imeupongeza mradi wa wa kuimarisha haki za
wanawake walioahiriwa na ukatili wa kijinsia ikiwemo ukeketaji katika mkoa wa Mara.
Akizungumza katika kongamano la shule za sekondari
na msingi lililoandaliwa na na Baraki Sisters Farm kwa ufadhili wa wa
the foundation for civili society kaimu afisa elimu Bi.Joyce Tongori
alisema mradi huo umekuwa chachu kubwa yakuondoa vitendo vya ukatili
katika wilaya hiyo japo bado vitendo hivyo vinaendelea chini kwa
chini.
Pia aliyataka mashirika hayo kujitokeza kwa wingi huku wakiahidi kutoa ushirikiano mkubwa kwao.
Naye
afisa maendeleo ambaye pia nimratibu wa Dawati la jinsia wilayani rorya
Mwema salum alisema hali bado nitete katika wilaya hiyo japo elimu
inatolewa kwa kasi kubwa huku akisema watahakikisha wanaondoa dhana
potofu iliyojengaka katika jamii kuhusiana na ukatili hususani
ukeketaji.
Aidha sisiter frorence ambaye pia ni nmwezeshaji
katika mradi wa Baraki sisters Farm alisema wamefanikiwa kwa kiasi baada
ya kuwatumia wazee wamila kwani wao ndio wenye sauti katika jamii kuwa
elimu na sasa wanajivunia kwa elimu amabayo wameifikisha imesaidia japo
bado wataendelea zaidi kutoa elimu kuhusian na ukatili wa kijinsia.
Kongamano
hilo limeenda sambamba na michezo mbalimbali zikiwempo nyimbo ,ngojera
,maigizo huku zikitolewa zawadi kwa washindi wa shule zilizoibuka
washindi.
TIZAMA VIDEO;