VYAMA 12 KUCHUANA UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDONI

Wagombea kutoka Vyama 12 wamerejesha fomu zao za Uteuzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Kinondoni.
Wagombea
hao ni Maulid Said Mtulia (CCM), Godfrey Fataeli Malisa (TLP), Johnson
Mwangosi (SAU), John Januari Mboya ( Demokrasia Makini), Mwajuma Noty
Milando–(UMD), Mary Osward Mpangara- (DP) na Rajab Salim Juma (CUF).
Wagombea
wengine ni Mwalim Salum Juma (Chadema), Mohamed Majaliwa Mohamed (NRA),
George Justine Kristian (CCK), Bashiri Saidi Kiwendu–(AFP) na Ally
Omari Abdallah–(ADA TADEA).
Uchaguzi katika jimbo hilo utafanyika Februari 17.