BIASHARA UNITED MARA WALIPOFIKIA WASHINDWE WAO TU.ANGALIA WANAMARA WALIVYOJITOKEZA KUANGALIA VIJANA WAO WAKIWANYOOSHA ALLIANCE PALE KARUME MJINI MUSOMA



wachezaji wakiwania mpira jezi ya kijani nimchezaji wa alliance akijaribu kuwakabili mabeki wa timu ya biasharaAdd


mashabiki walivyojitokeza kwa wingi wao kuipa nguvu timu


sehemu ya kikundi cha ushangiliaji cha Biashara united mara

Sehemu ya viongozi wa pili kutoka kushoto ni mkuu wawilaya ya Musoma DR. Vicent Naano akifatilia mchezo baina ya BIASHARA UNITED MARA VS ALLIANCE YA MWANZA.
Na Makaliblog,MARA
Hivi ndivyo ilikuwa pale uwanja wa karume baada ya kuuliza mimi nikaambiwa wana mara waliacha historia ilikuwa 2003 mchezo kati ya POLISI MARA NA MTIBWA SUGAR. Ikaishia hapo watu kujaa katika uwanja wa karume lakini mechi kati ya Biashara united vs Alliance ya mwanza imeandikwa historia nyingine tena.

Nimashabiki wenye kiu kubwa yakuiona ligi ikichezwa katika uwanja wa karume mjini musoma wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Adamu malima walijitokeza kwa wingi ili kuhakikisha timu hiyo inacheza ligi kuu msimu ujao.

Kiukweli Biashara washindwe wao hadi pale ambapo wamefikia kwani mpaka sasa wao nivinala katika kundi lao wakiongoza kwa pointi 23 dhidi ya Dodoma FC ambaye anapointi 21 baada ya kufungwa na Rahno rangers ya tabora alliance wakibaki na pointi zao 19.

Naweza kusema kwa sasa vita kubwa ambayo inaangaliwa Timu ya alliance na Dodoma ambapo katika michezo ijayo kati ya hawa waili ikifungwa zahiri sasa anayeshinda amejihakikishia kupanda kwani biashara anamzidi alliance point 4 na 2 kwa Dodoma.
Powered by Blogger.