ALIYEDAIWA KUMUA MKE WAKE KWAKUMCHINJA SHINGO NA PANGA MKOANI MARA AKAMATWA NA POLISI.Na     Makaliblog. Mara
Mwanaume mmoja alieyedaiwa kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa panga Bwana Mwita maganya mkazi wa kijiji cha kitaga sembe kata ya Gwitiryo amejisalimisha katika kituo cha polisi huko wilayani Tarime mkoani mara.

Awali akizungumza na Makaliblog.mwenyekiti wa wa eneo Bwana Gbariel mnaka alisema alipigiwa simu najirani yake na mtuhumiwa huyo kuwa alikuwa akimuhitaji kwa kujisalimisha mwenyewe baada ya kufika katika familia hiyo akiomba maji ya kunywa ndipo mwenyekiti alipo chukua hatua ya kuita jeshi la polisi na mkutia hatia hatiani.

Baadhi ya wananchi akiwemo Bwana Elisha chacha walisema ipo haja kubwa ya jeshi la polisi kuongeza nguvu katika kijiji hicho ilikuondo matukio madogo madogo yanayojitokeza katika kijiji hicho ya kiwemo ya uporaji.

Aidha  akizungumza na MAKALIBLOG kwa njia ya simu kaimu kamanda wa jeshi la polisi Obadia jonasi alisema mpaka sasa jeshi lapolisi lianendelea kumhoji mtuhumiwa na badaye atafikishwa mahakamini kama watuhumiwa wengine.

     TAARIFA ZINGINE TUTAENDELEA KUKUFAHGAMISHA KUPITIA AKALIBLOG.

            TUPIGIE KWA HABARI 0754295996 au mussaj970@gmail.comPowered by Blogger.