VIDEO MAKALIBLOG;KIMENUKA....WALIOFANYA UBADHIRIFU WA FEDHA IMARA SACCOS KUCHUKULIWA HATUA KALI
Mwenyekiti Mpya wa Ushirika huo Bi Josephine Marcus akisoma Taarifa ya Fedha za Ushirika kabla ya Kuchaguliwa hii leo.
Mwenyekiti Mpya wa Ushirika huo Bi Josephine Marcus akisoma Taarifa ya Fedha za Ushirika kabla ya Kuchaguliwa hii leo.
Richard Majalla Kaimu Mrajis wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Mara
katibu tawala wilaya ya musoma akizungumza katika mkutano mkuu wa chama cha imara sacoss mjini musoma mkoani mara
Wanachama wa Ushirika huo wakiwa katika Mkutano wa Mwaka.
Meneja wa Ushirika na Katibu wa Bodi Ellisha Obadia akieleza jambo katika Mkutano mkuu wa chama.
Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Imara Saccos.Gideon Maberi akifafanua jambo katika Mkutano huo.
.......... ******...............
**Serikali ya mchunguza aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha ;
Serikali mkoani mara imesema haitasita kumchulia hatua yeyote
aliyehusika na ubadhiribu wa mamilio ya fedha katika chama cha ushirika
na mikopo Imara saccos kilichopo wilayani Musoma Mkoani mara.
Chama cha ushirika wa akiba na mikopo imara saccos kilichopo mkoani mara
kimegubikwa na wimbi la upotevu wa mali za chama hicho huku ukituhumiwa
uongozi uliokuwa madarakani awali chini yawenyekiti wake bwana Bonphace ndengo.
Akizungumza katika kikao hicho katibu tawala wilaya ya musoma Bwana
Justine manko awali aliwataka wanachama wa imara kuchagua viongozi wenye
weredi ambao watashirikiana napo kufanya kazi za chama hicho.
Ambapo alisema miongoni mwavyma ambavyo vinafanya vizuri nichama cha
imara saccos kutokana na kuwa na uongozi uliosimama nakuvizidi vyama
vingine vya ushirika katika mkoa huo vinavyoshindwa kujiendesha kutokana
na ugonzi mbaya.
Akiwa mwishoni kukamilisha hotuba yake kukaibuka swala la mwenyekiti wa
Awali bwana Bonifance ndengo kutuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha za chama
hicho ambapo swala hilo lilijibiwa na Bwana Richard majalla ambaye
nikaimu mrajis wa vyama vya ushirika mkoani mara nakusema kuwa swala la
mwenyekiti huyo tiari vyombo vya sheria vinaendelea kuchunguza na
taarifa itatolewa.
Kwa mujibu wa mkutano huo ,Bwana ndengo anatuhumiwa kufanya ubadhirifu
wa fedha za chama hicho huku akihusishwa kununua baadhi ya viwanja nje
ya mkoa wa mara,katika wilaya ya Bariadi mkoani simiyu jambo ambalo
chama hicho hakina hata tawi katika wilaya hiyo lakini alifanya hicho
kwa matumizi mabaya tu ya fedha.
Katibu tawala amewatoa wasiwasi wanachama nakuahidi kumchukulia hatua kiongozi yeyeote aliyehusika na ubadhirifu wa fedha hizo.
naye kwa upande makamu mwenyekiti wa Imara Saccos.Gideon Maberi alisema
nimatumizi makubwa na mabaya ya fedha yaliyofanyika katika chama hicho
huku akiomba serikali kuchukua hatua kali kwa wahusika wote.
Aidha kwa upande wake meneja wa chama hicho cha imara saccos bwana
Elisha Obadia alisema nivyema wananchama wakashikama kwa wakati huu kwa
ajili ya kujenga nakukiendeleza chama nakuacha makundi, huku akiwaahidi
wananchama waimara saccos kutokuwa nawasi wasi wowote kuhusian na pesa
na hisa zao ziko salama sikama inavyodaiwa kuwa fedha za wananchama
hazipo.
imara saccos inawanachana zaidi ya elf moja (1000) ambayo imeshirikisha
vikundi mbalimbali vya kukopa nakuwekeza katika chama hicho.
Makaliblog ilipo mtafuta mwenyekiti aliyemaliza mda wake Bwana ndengo
hakupatikana nahata alivyopigia simu hakuwa tiari kupokea simu yake.
cha Imara saccos,huku makamu mwenyekiti akiwa Bwana Gideoni Maberi ,huku
wajumbe wa bodi Sara Bisanda,Michael Alen,Singo na George Misoke.
TOA MAONI YAKO MATUSI( HAPANA)
UNAWEZA KUTUPIGIA KUPITIA 0754295996