NYUMBA YA TEKETEA KWA MOTO MKOANI MARA.TIZAMA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI; UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO YATUKIO LA MOTO
![]() |
Katikati ni kamanda wa jeshi la polisi mkoani Mara Jafarry mohamed, akiwa katika harakati za kuzima moto |
![]() |
Wananchi wa Jeshi la wananchi Tanzania wakiunganisha mipira kwa ajiri ya kuzima moto |
![]() |
maaskari wakishiri kwa pamoja kuzima moto huo |
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umezuka
na kuteketeza vibaya ghala la kuhifadhia vifaa vya maofisini na mashuleni zikiwemo
kemikali za maabara ambazo pia thamani yake bado haijajulikana mali ya mfanyabiashara
Bw. STEVEN GIKARO mkazi wa eneo la mtakuja kata ya Mwisenge wilayani Musoma mkoani
Mara.
Tukio hilo lime tokea katika kata ya mwisenge iliko
nje kidogo ya manispaa ya musoma mkoani mara huku chanzo cha moto huo bado
hakijafahamika moto huo pia umeteketeza bidhaa za stationary na kemikali za
maabara ambazo thamani yake hakufahamika.
SOURCE MAKALIBLOG
TANGAZA NASI KUPITIA 0754295996