WANANCHI WACHOMA GARI MKOANI MARA WADAI LINAHUSIKA WIZI WA DAWA.



Gari
lenye namba za usajiri T641DKE aina ya Toyota SUCCEED lililochomwa
Moto na wananchi wa kijiji cha Ikoma Kata ya Ikoma Wilayani Rorya mkoani
Mara baada ya kukuta gari hilo limebeba Boksi 12 zilizodaiwa kuwa ni
Dawa za Zahanati ya Kijiji cha Ikoma na ndipo Wananchi hao walianza
kushambulia gari hilo na kisha kulichoma Moto.



Gari lillochomwa Moto na wananchi likiwa katika ofisi ya Serikali ya kijiji cha Ikoma Wilayani Rorya Mkoani Mara.




Mwenyekiti wa kijiji cha Ikoma Wilayani Rorya Mkoani Mara Gaspal
Oluochi akizungumzia juu ya tukio hilo



Diwani wa kata ya Ikoma Andrew Nyakriga akizungumzia juu ya tukio hilo.
Powered by Blogger.