PROF.MUHONGO ATOA MOTISHA KWA TIMU YA BIASHARA UNITED KUELEKEA MECHI YAO NA TRANS CAMP YA SHINYANGA KARUME FEB.4,2018
![]() |
Pichani: ni wachezaji na viongozi wa timu ya Biashara United Mara |
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Prof. Sospeter Muhongo ametoa Motisha kwa wachezaji na viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Biashara United ya Mkoani Mara, kwa lengo la kuwapa hamasa kwenye mechi yao ya kesho
Biashara United inayoongoza katika kundi "C" kwenye ligi daraja la kwanza ,inaingia kwenye uwanja wa Karume Mjini Musoma kuchuana na timu ya Trans Camp ya Shinyanga.