KILIMO CHA UMWAGILIAJI CHALETA TIJA KWA AKINA MAMA MURANGI.
Na VERDIANA MGOMA.Musoma.
Akina mama katika kijiji cha lyasembe wameanza kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya kupokea ufadhili wa mashine kutoka kwa Mbunge wa Musoma Vijijini Prof. Muhongo na kujishughulisha na kilimo cha bustani zambogambo ga na matunda
Akizungumza Afisa kilimo kata ya Murangi Maricha Mgono: ameeleza kuwa mpango wa kilimo cha umwagiliji niharakati zilizowekwa kuhakikisha akina mama na vijana wanajikimu, kuinuka kiuchumi na kujiajiri , afisa huyo amefafanu a namna ambavyo kume kuwepo kwa
Muamko wakilimo cha umwagiliaji katika kata hiyo imekuw tofati nanyuma kwa wakazi hao kwani kazi kubwa waliokuwa wakiitegemea nakuipa nafasi ni uvuvi.
“ tumefanya jiti hada za kuhamasisha uundwaji wa vikundi kwama endeleo ya akina mama na vijana ili kuwepo kwa upatikanaji wamikopo itakayo wasaidia kuwainua kiuchumi na kufungua miradi mbalimbali”
katibu wa kikundi Mawazo Jumbura ameonyesha namna ambavyo wao kama akina mama walivyonufaika na kikundi hicho baada ya kupokea mashine, mipira, na mbegu kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, anasema wao kama wanawake walijitambua kuwa wanajukumu kubwa katika jamii na kuwa fanya kuwapa nguvu na kuhakikisha maendeleo yao yanakuwa kiuchumi na kijamii kwakuunda kikundi kitakacho wapa msaada wamahitaji yao.
Hata hivyo mpaka sasa hali yamaisha imebadili kana tuna uwezo wakujiendeleza, kwa kuhudumia familia zetu, kusomesha watoto wetu, mahitaji yetu binafsi,mpaka sasa tuna mikakati ya ununuzi wamashine nyingine, kufungua miradi tofauti (vikundi vya kukopesha na naupishi)
Mbali na faida walizopa ta kupitia kikundi hicho pia wameeleza changamoto zao ikiwa ni pamoja naupatikanaji wamaeneo yatakayo wasaidia kulima kilimo kikubwa chenyetija, masoko yakuuzia bidhaazao , upatikanaji waelimu kupitia matamasha, wahamasishaji namaonesho kwaajili ya mafunzo, hata hivyo amemaliza kwakumshukuru Mbunge kwa mwanga alionesha na wao kutumia kama fursa
“kijijin hapa nimepokea mbegu za mtama, mihogo, alizeti kutoka ofisi ya mbunge nampa kasasa kunamikakati yakilimo cha ufuta, kwaujumla muitikio wakilimo kwa wakazi waeneo hili unakuwa siku hadi siku”
Aidha Mtendaji wakijiji hicho Chikonya B Chikonya: aliwmelezea Prof.Sospetre Muhongo(Mb) amewafanya wakazi wa eneo hilo kuweka kipaumbele chao kwenye kilimo, kupitia vikundi vya umwagiliaji kwa vijana na akina mama na kuwafanya kuwa wa jasiriamali na kupelekea kujikwamua kiuchumi hatahivyo ameeleza jinsi ambavyo Mbunge ameweka kipaumbele idara ya kilimo na wakazi waeneo hilo jinsi waliivyo itikia