MWENYEKITI WA CCM MKOANI MARA SAMWELI KIBOYE AHIDI KUSIMAMIA ASILIMIA ZA VIJANA



Mwenyekiti akisisitiza jambo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mara Samwel Kiboye No3 akiongea na Umoja
wa Vijana Wilaya ya Tarime UVCCM Katika kikao cha Baraza la Vijana
ili kuweka Mikakati ya Kazi ya Chama hicho ambapo amesema kuwa
atasimamia vyema Halmashauri zote kutoa Mikopo ya asilimia tano kwa
vikundi vya akina mama na Vijana.

Mwenyekiti wa UVCCM kushoto Godfrey Francis akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye katika Kikao hicho.




Wajumbe wa Baraza la Vijana Wilaya ya Tarime wakiwa katika kikao hicho.

Katibu wa UVCCM Newton Mwongi akisisitiza jambo katika Kikao hicho.
    Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Tarime Godfrey Francis akitoa shukrani kwa Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye katika kushiriki kufungua rasmi Baraza
hilo la Vijana UVCCM Tarime katika Ukumbi wa MCN Mjini Tarime.




Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye akimpokea rasmi Emmanuel Ngese kutoka CHADEMA.

Karibu sana CCM




Powered by Blogger.