KIKOSI CHA BIASHARA KILICHO IANGAMIZA PAMBA YA MWANZA.



Ikumbukwe tu wananchi wa mkoa wa mara wamekuwa na kiu kubwa ya kuiona ligi kuu ya Vodacom ikiunguruma viwanja vya karume mjini musoma ambapo mkoa wamara unavipaji lukuki jambo lakujiuliza kwanini hatuna timu inayoshiriki ligi kuu? Swali ambalo sijui nani wakulijibu bila shaka viongozi wa chama cha soka.

Hivi karibuni nilikuwa nikizungumza na mzee mmoja yeye akasema uwezo wa kucheza ligi upo ila isipokuwa vitu vichache tu vikiachwa katika soka letu lamkoa wa mara cha kwanza, Alinambia umimi baadhi ya viongozi wamekuwa wakizichukua timu nakujiona bila wao timu yoyote haendi, kitu kingine nichama cha soka.

Ambapo humo humo wamo viongozi wao wanahitaji kupata kitu kidogo nasikuangalia masirahi ya timu name hili linaniumiza sana kwanini tusipandishe timu ili tupate hicho kidogo vizuri na ambacho kitakuwa kikubwa.

Kamati zetu zimekuwa zakujifungia nakusema huyu apate huyu asipate kila mtu anasauti ya kwenye timu tukiyaacha haya Mara itakuwa mpya nayakutoa vipaji vikubwa tunawaona vijana wengi.

TATHIMINI;

Biashara mpaka sasa inanafasi ya kupanda nakucheza ligi endapo tu itajizatiti nakuweka malengo mbele kwani ukiangalia allice fc watakuja katika mchezo wao wa marudiano wamefocus kushinda mara baada ya kufungwa mabao 3-2 na Dodoma fc ambapo Biashara anahitaji angalau ushindi wa mabao 2 au mmoja tiari atakuwa amejiwekea nafasi nzuri yeye na Dodoma Fc kupanda.

Kinachotakiwa nitimu kucheza bila kuzalau kwamba Alliance wamefungwa hiyo itakuja kuigharimu timu.mchezo wa pmaba na Biashara nimchezo ambao ulikuwa biashara kushinda bao zaidi ya tatu kutokana na Timu ya Biashara ilivyocheza First time yaani dakika 45 ukiangalia wao ndio walikuwa na umiliki mkubwa wa mpira kinacho wagharibu biashara lazima niseme hili hakuna mchezaji tegemeo wa Finishng hilo ndio tatizo pasi nyingi lakini kwa wakati huu timu inahitaji mabao na pointi ilikujiweka vyema katikati timu bado hakuna mtu wakuondoa timu na ikafanye nini kwa wakati gani sijajua shida niwatu waliopewa majukumu katikati ila ikilekebishwa iwsh mechi ya alliance watashinda ushindi kama wa pamba.

Alliance watakuja wamepanic wakitaka ushindi lakini utulivu wa biashara itawasaidia sana ukilinganisha wametoka kushinda mechi tena kwa bao mbili inawapa moto mkubwa wakuhakikisha mechi hiyo wanaibuka na ushindi.
HAKIKA UMOJA NI USHINDI.

Na mengi ya kuzungumza niseme EWE MWANA MARA TUJITOKEZE KUUINGA MKONO TIMU YETU AMBAYO NITEGEMEO KUBWA SANA LA MKOA NANYIE VIONGOZI ACHEZNI UJANJA UJANJA ANGALIE MPIRA NASIMASILAHI KWANZA.

ONGELENI BENCHI NA UONGOZI WA BIASHARA KWA UJUMLA KIUKWELI PAMOJA NA CHANGAMOTO ZOTE ILA KAZI MNAYOIFANYA MNAHITAJI SAPOT KUBWA.


                                NILIJARIBU TUZUNGUMZE PAMOJA
                   
                       MAONI NA USHAURI KARIBU 0754295996

                            MATUSI (HAPANA )
Powered by Blogger.