MWALIMU ANAYETUHUMIWA KUBAKA WANAFUNZI TARIME AFIKISHWA KOROTINI



Mwalimu
        Mwalimu wa Shule ya Msingi Itiryo Samwel Mariba anayetuhumiwa kubaka wanafunzi
wa Darasa la Kwanza wenye umri wa Miaka kuanzia 7-9 aliyefikishwa
Mahakamini kwa Mashikata 09 ya ubakaji akiwa katika Mahakama ya Wilaya
ya Tarime jana kabla ya kesi yake kuendelea mahakamani hapo.

HABARI ZAIDI TIAZAMA VIDEO HIYO                 





Powered by Blogger.