ALICHOKISEMA Naibu waziri wa Madini Stanslaus Nyongo Nyamongo Tarime



Naibu
Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akiongea na wanachi wa Nyamongo
Wilayani Tarime Mkoani Mara na kusema kuwa Serikali haitakubali haki za
wanachi zinapotea.



Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akisaini kitabu cha wageni katika kijiji cha Murwambe Nyamongo.

Wananchi wa Murwambe wakisiliza.





Baadhi ya Wananchi wa Nyamongo wakitoa kero zao kwa Naibu waziri wa Madini Nyongo.



Wananchi wa Nyamichere wakiwa na mabango yenye ujumbe kwa Naibu Waziri wa Madini.





Mkuu wa Wilaya ya Rorya Simon Chacha kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akifafanua jambo.



Diwani
wa kata ya Kemambo Rashid Bugomba akieleza kero kwa Naibu wa Madini
likiwemo suala la upatikanaji wa Maji safi na salama Nyamongo.




Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara CCM Agness Marwa akieleza Changamoto za wananchi wa Nyamongo.




Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Marwa Daud kushoto kwake ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Mara CCM Agnes Marwa.






Powered by Blogger.