MKUU WA MKOA WA SIMIYU AWATAKA TFDA KUWEKA OFISI KILA MKOA


Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka akifungua rasmi Mafunzo kwa Waandishi wa habari na Wahariri katika 
Kikao kazi cha 
Uhamasishaji kuhusu Usimamizi wa 
Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Sura 219 kutoka Mikoa ya Simiyu na 
Mara 

Semina hiyo imefanyika Mkoani Simiyu kwa kushirikisha 
Wahariri pamoja na Waandishi lengo kubwa ni kuwajengea Uwezo 
katika kutambua Sheria ya Chakula na Dawa na Vipodozi Sura 219 na 

kuendelea kuibua na kuandika habari kwa lengo la kuekimisha jamii 
kuhusu yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt 
John Bariadi.

Mkuu
wa Mkoa huyo amesema kuwa TFDA kutokana na Sera ya Tanzania ya Viwanda 
kuna haja kubwa ya kujenga Oifisi zao kila Mkoa hapa Nchini ili 
kuongeza Ufanisi wa kazi 
Powered by Blogger.