GARI LA ABIRIA COMPANY YA BATCO LINALOFANYA SAFARI ZAKE MARA MWANZA LATEKETEA KWA MOTO





Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara gari hilo lilikuwa linafanya safari yake kutoka Tarime-Sirari Mwanza chanzo cha Moto huo bado hakijafaamika na inasemekana baadhi ya mali za abiria zimeweza kuteketea kwa moto na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na moto katika tukio hilo 

                            ambapo kamanda wa jeshi la polisi mkoani mara jafary mohamed amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema atatoa tarifa kamili baada ya wataalm wake kukamilisha kuangalia chanzo






                                                 
Powered by Blogger.