MHONGO ATEMBELEA MGODI ULIOANGUKA;
SIPICHA siza TUKIO HUSIKA
Siku chache baada ya mgodi wa
buhemba kuangukiwa na kifusi na hivyo kusababisha vifo na majeruhi kwa baadhi
ya wachimbaji shirika la madini la taifa ambalo ndiyo mmiliki wa mgodi huo
imewapatiwa wachimbaji wadogo eneo hilo
kwaajili ya kuendeshea shughuli za
uchimbaji kihalali ili kuwasaidia wananchi na vijana wa eneo hilo kujikwamua
kiuchumi.
Ambapo waziri wanishati na madini
mh, profesa sosepeter mhngo ametembelea katika mgodi huo ilikujione hali halisi
iliyojitokea nakupelekea baadhi ya wachimbaji kupoteza maisha wakati wakiwa
katika shughuli za utafutaji katika mgodi huo.
Hayo yamesemwa na meneja wa Stamico
BW. LUCAS MLEKWA alipokua akizungumza wakati wa ziara ya waziri wa
nishati na madini PROF. SOSPETER MUHONGO alipotembelea mgodi uliofukiwa na
kifusi.
Mlekwa amesema kutokana na wakazi
wengi wa maeneo hayo kutegemea uchimbaji wa madini kama sehemu ya kuinua uchumi
stamico imeona ni vyema ikawapatia wananchi eneo hilo ili waendelee kutumia
kama ilivyokuwa hapo awali.
Uamuzi huo wa stamico kuruhusu
shughuli za mgodi katika eneo hilo ukaungwa mkono na waziri wa nishati na
madini PROF. SOSPETER MUHONGO na kabla ya kutoa ridhaa anaagiza kufungwa kwanza
kwa mgodi huo mpaka taratibu zitazokamilika.
Awali waziri muhongo alipata fursa
ya kuzungumza na waokoaji na ndugu walioondokewa na wapendwa na hapa
anatoa
tamko linalotaka kukamilika kwa zoezi la uokoaji ifikapo jumatatu.